“Kiambatisho D: Muziki Uliopendekezwa kwa ajili ya Familia,” Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Watu Binafsi na Familia: Kitabu cha Mormoni 2020 (2020)
“Kiambatisho D,” Njoo, Unifuate—Kwa Ajili ya Watu Binafsi na Familia: 2020
Kiambatisho D
Muziki Uliopendekezwa kwa ajili ya Familia
Familia zaweza kuchagua kutumia nyimbo za kanisa na nyimbo za watoto zifuatazo wakati wa kujifunza maandiko kifamilia au jioni ya familia nyumbani ili kuunga mkono mafundisho yanayofundishwa katika Kitabu cha Mormoni. Watoto watakuwa wakiimba zaidi nyimbo hizi katika madarasa yao ya Msingi na wakati wa kuimba.
Januari
-
Desemba 30–Januari 5 (Kurasa za Utangulizi za Kitabu cha Mormoni): “Hadithi za Kitabu cha Mormoni” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 118–19)
-
Januari 6–12 (1 Nefi 1–7): “Tii Amri” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 146–47)
-
Januari 13–19 (1 Nefi 8–10): “Tafuta, Tafakari, na Usali” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 109)
-
Januari 20–26 (1 Nefi 11–15): “Fimbo ya Chuma” (Nyimbo za Kanisa, na. 274)
Februari
-
Januari 27–Februari 2 (1 Nefi 16–22): “Ujasiri wa Nefi” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto 120–21)
-
Februari 3–9 (2 Nefi 1–5): “Praise to the Man” (Nyimbo za Kanisa, na. 27)
-
Februari 10–16 (2 Nefi 6–10): “I Feel My Savior’s Love” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 74–75)
-
Februari 17–23 (2 Nefi 11–25): “I Love to See the Temple” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 95)
Machi
-
Februari 24–Machi 1 (2 Nefi 26–30): “The Holy Ghost” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 105)
-
Machi 2–8 (2 Nefi 31–33): “When I Am Baptized” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 103)
-
Machi 9–15 (Yakobo 1–4): “The Wise Man and the Foolish Man” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 281)
-
Machi 16–22 (Yakobo 5–7): “Dare to Do Right” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 158)
-
Machi 23–Machi 29 (Enoshi–Maneno ya Mormoni): “A Child’s Prayer” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 12–13)
Aprili
-
Machi 30–Aprili 12 (Pasaka): “Easter Hosanna” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 68–69)
-
Aprili 13–19 (Mosia 1–3): “When We’re Helping” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 198)
-
Aprili 20–26 (Mosia 4–6): “Love One Another” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 136–37)
Mei
-
Aprili 27–Mei 3 (Mosia 7–10): “Book of Mormon Stories” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 118–19)
-
Mei 4–10 (Mosia 11–17): “I Will Be Valiant” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 162)
-
Mei 11–17 (Mosia 18–24): “Baptism” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 100–101)
-
Mei 18–24 (Mosia 25–28): “Help Me, Dear Father” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 99)
-
Mei 25–31 (Mosia 29–Alma 4): “Testimony” (Nyimbo za Kanisa, na. 137)
Juni
-
Juni 1–7 (Alma 5–7): “Come, Follow Me” (Nyimbo za Kanisa, no. 116)
-
Juni 8–14 (Alma 8–12): “We’ll Bring the World His Truth” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 172–73)
-
Juni 15–21 (Alma 13–16): “Follow the Prophet” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 110–11)
-
Juni 22–28 (Alma 17–22): “I Want to Be a Missionary Now” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 168)
Julai
-
Juni 29–Julai 5 (Alma 23–29): “For Health and Strength” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 21)
-
Julai 6–12 (Alma 30–31): “My Heavenly Father Loves Me” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 228–29)
-
Julai 13–19 (Alma 32–35): “Faith” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 96–97)
-
Julai 20–26 (Alma 36–38): “As I Search the Holy Scriptures” (Nyimbo za Kanisa, na. 277)
Agosti
-
Julai 27–Agosti 2 (Alma 39–42): “Repentance” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 98)
-
Agosti 3–9 (Alma 43–52): “Home Can Be a Heaven on Earth” (Nyimbo za Kanisa, na. 298)
-
Agosti 10–16 (Alma 53–63): “We’ll Bring the World His Truth” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 172–73)
-
Agosti 17–23 (Helamani 1–6): “The Still Small Voice” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 106–7)
-
Agosti 24–30 (Helamani 7–12): “Follow the Prophet” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 110–11)
Septemba
-
Agosti 31–Septemba 6 (Helamani 13–16): “Samuel Tells of the Baby Jesus” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 36)
-
Septemba 7–13 (3 Nefi 1–7): “I’m Trying to Be like Jesus” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 78–79)
-
Septemba 14–20 (3 Nefi 8–11): “This Is My Beloved Son” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 76)
-
Septemba 21–27 (3 Nefi 12–16): “The Wise Man and the Foolish Man” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 281)
Oktoba
-
Septemba 28–Oktoba 11 (3 Nefi 17–19): “Reverently, Quietly” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 26)
-
Oktoba 12–18 (3 Nefi 20–26): “Families Can Be Together Forever” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 188)
-
Oktoba 19–25 (3 Nefi 27–4 Nefi): “The Church of Jesus Christ” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 77)
Novemba
-
Oktoba 26–Novemba 1 (Mormoni 1–6): “Jesus Said Love Everyone” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 61)
-
Novemba 2–8 (Mormoni 7–9): “Stand for the Right” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 159)
-
Novemba 9–15 (Etheri 1–5): “Head, Shoulders, Knees, and Toes” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 275)
-
Novemba 16–22 (Etheri 6–11): “I Thank Thee, Dear Father” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 7)
-
Novemba 23–29 (Etheri 12–15): “Faith” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 96–97)
Desemba
-
Novemba 30–Desemba 6 (Moroni 1–6): “Help Me, Dear Father” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 99)
-
Desemba 7–13 (Moroni 7–9): “I Will Follow God’s Plan” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 164–65)
-
Desemba 14–20 (Moroni 10): “Search, Ponder, and Pray” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 109)
-
Desemba 21–27 (Krismasi): “Away in a Manger” (Kitabu cha Nyimbo za Watoto, 42–43)