Scripture Stories
Sehemu za Kujua


Sehemu za Kujua

Amerika

nchi ya ahadi ambayo kwayo Mungu aliwaelekeza familia ya Lehi na Wayaredi

Amoniha

mji wa watu waovu ambao hawakumsikiliza Alma Mdogo na Amuleki

Babeli

mji ambapo watu waovu walijenga mnara ili waweze kukwea mbinguni

Bethlehemu

mji karibu na Yerusalemu ambapo Yesu Kristo alizaliwa

Neema1

mahali ambapo familia ya Lehi ilikita kambi baada ya kusafiri nyikani kwa miaka minane. kutoka hapa walisafiri hadi nchi ya ahadi.

Neema2

mahali ambapo Yesu Kristo alienda alipowatembelea Wanefi

Mlima Kumora

mahali ambapo Moroni alizika bamba za dhahabu na Joseph Smith baadaye akazifichua

Yershoni

nchi ambayo Wanefi waliwapa watu wa Amoni

Yerusalemu

mji ambapo Lehi alitoa unabii kwa waovu na mahali ambapo Yesu Kristo alifundisha na akasulubiwa

Nefi

mji ambao Nefi na watu wake walijenga baada ya kuwaacha Lamani na Lamueli na wafuasi wao

nchi ya ahadi

nchi yoyote ambapo Mungu anawaongoza wateule wake kwayo. Aliwaongoza familia ya Lehi na Wayaredi kwenye nchi ya ahadi.

Sidomu

nchi ambapo Alma Mdogo alianzisha Kanisa. Ilikuja ikawa nyumba mpya kwa watu wenye haki walioondoka Amoniha.

Maji ya Mormoni

mahali ambapo Alma aliwabatiza Wanefi waongofu waliokuwa wamemwacha Mfalme Nuhu

Zarahemla

mji mkuu wa Wanefi ambao ulikuwa kituo cha serikali na Kanisa. Mfalme Mosia na Mfalme Benyamini waliishi hapa. Mji huo ulichomwa wakati wa kifo cha Yesu.

Chapisha