Scripture Stories
Sura ya 43: Yesu Kristo Analipa Jina Kanisa Lake: Aprili 1838


Sura ya 43

Yesu Kristo Analipa Jina Kanisa Lake

Aprili 1838

Picha
wanandoa katika gari la kukokotwa na maksai
Picha
Joseph anapokea ufunuo

Wakati Joseph Smith akiwa Far West, Missouri, Yesu alimpa ufunuo muhimu kuhusu jina la Kanisa.

Picha
Yesu amesimama miongoni mwa waumini

Kanisa linaitwa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho. Linaitwa kwa jina la Yesu kwa sababu ni Kanisa Lake na Yeye ni kiongozi wake. Siku za mwisho ni siku za mwisho kabla ya Yesu kuja tena duniani. Watakatifu ni waumini waadilifu wa Kanisa. Watakatifu wa siku za mwisho ni waumini wa Kanisa ambao wanaishi sasa.

Chapisha