Mpangilio wa Muda wa Agano Jipya
Kabla ya kuzaliwa kwa Yesu hadi B.K. 2
-
Elisabeti na Zakaria
-
Mariamu na Malaika
-
Yohana Mbatizaji Anazaliwa
-
Yusufu na Malaika
(B.K. 0–2)
-
Yesu Kristo Anazaliwa
-
Kuwekwa Hekaluni
-
Mamajusi
-
Mfalme Herode Mwovu
B.K. 11
-
Mvulana Yesu
B.K. 31
-
Yesu Anabatizwa
-
Yesu Anajaribiwa
-
Harusi huko Kana
-
Yesu na Nyumba ya Baba yake wa Mbinguni
-
Nikodemo
-
Mwanamke Kisimani
-
Mwana wa Kiongozi
-
Watu Wenye Hasira Nazareti
-
Yesu Anachagua Mitume Wake
-
Mahubiri ya Mlimani
-
Yesu Anafundisha kuhusu Sala
-
Yesu Anaamuru Upepo na Mawimbi
-
Mtu Mwenye Mapepo
-
Mtu Ambaye Hakuweza Kutembea
B.K. 32
-
Binti wa Yairo Anafufuliwa kutoka Wafu
-
Mwanamke Anagusa Mavazi ya Yesu
-
Yesu Anamsamehe Mwanamke
-
Akifanya Kazi ya Baba yake Duniani
B.K. 33
-
Yesu Anawalisha Watu 5,000
-
Yesu Anatembea juu ya Maji
-
Mkate wa Uzima
-
Yesu Anamponya Kiziwi
-
Petro Anashuhudia juu ya Kristo
-
Kuonekana katika Utukufu: Kugeuzwa
-
Mvulana mwenye Pepo
-
Msamaria Mwema
-
Yesu Anaelezea Mafumbo Matatu
-
Kondoo Aliyepotea
-
Sarafu Iliyopotea
-
Mwana Aliyepotea
-
-
Wenye Ukoma Kumi
-
Farisayo na Mtoza Ushuru
-
Yesu Anamponya Kipofu
-
Mchungaji Mwema
-
Yesu Anawabariki Watoto
-
Mvulana Tajiri
B.K. 34
-
Yesu Anamfufua Lazaro
Wiki ya Mwisho ya Maisha ya Mwokozi
-
Mwokozi Anaenda Yerusalemu
-
Senti za Mjane
-
Ujio wa Pili
-
Wanawali Kumi
-
Talanta
-
Sakramenti ya Kwanza
-
Mafundisho Mengine katika Mlo wa Mwisho
-
Yesu Anateseka katika Bustani ya Gethsemane
-
Mashitaka ya Yesu
-
Yesu Anasulubiwa
-
Yesu Amefufuka
B.K. 34–70
-
Mitume Wanaongoza Kanisa
-
Petro Anamponya Mtu
-
Watu Waovu Wanamwua Stefano
-
Simoni na Ukuhani
-
Sauli Anajifunza kuhusu Yesu
-
Petro Anamfufua Tabitha
-
Paulo na Sila Gerezani
-
Paulo Anamtii Roho Mtakatifu
-
Paulo Anahitimisha Utume Wake
Namba kabla ya kichwa cha habari inaonyesha sura ya kitabu hiki ambapo unaweza kusoma hadithi hiyo.
Tarehe na mpangilio wa matukio ni makisio.