Scripture Stories
Sehemu Zingine za Kujua


Sehemu Zingine za Kujua

Amerika

Yesu Kristo aliwatembelea watu huko Amerika baada ya Ufufuko Wake na kuwafundisha injili. Aliwaita Mitume Kumi na Wawili kuongoza Kanisa hapa. (40)

Dunia

sayari ambapo sote tunaishi. Yesu Kristo aliumba dunia kwa ajili yetu…(Utangulizi)

Misri

nchi iliyo kusini mwa Nchi Takatifu. Yusufu aliambiwa na malaika aipeleke familia yake Misri ili kwamba Herode asimuue mtoto Yesu. (8)

Mbinguni

mahali ambapo Baba wa Mbinguni anaishi. (Utangulizi)

Nchi Takatifu

nchi ambapo Yesu aliishi na kufundisha. Yuda, Samaria na Galilaya zote zipo katika Nchi Takatifu. (Utangulizi)

Rumi

mji mkuu wa Himaya ya Kirumi. Paulo alifundisha injili wakati alipokuwa gerezani huko Rumi. (63)

Chapisha