44 Enyi Wenye Shukrani Kwa shauku 1. Enyi wenye shukrani; Mavuno imbieni. Ndani yamekusanywa; Baridi imeanza. Vyote atoa Mungu Kwa uhitaji wetu. Njooni hekaluni Mavuno imbieni. 2. Dunia ni ya Mungu, Ni shamba la kusifu: Magugu kwa majuto, Bali shangwe kwa ngano. Kwanza jani na suke, Halafu mbegu yote. Bwana amekubali Tuwe mbegu halisi. Maandishi: Henry Alford, 1810–1871 Muziki: George J. Elvey, 1816–1893 Mafundisho na Maagano 86:1–7 Marko 4:26–28