181 Mimi Mwana wa Mungu Kwa hamasa 1. Mimi mwana wa Mungu, Kanituma hapa, Kanipatia makao Na wazazi wema. [Chorus] Niongoze, enda nami, Njia nipate. Nifunze la kufanya Nikaishi naye. 2. Mimi mwana wa Mungu, Nahitaji sana; Nielewe neno lake Kabla siku kwisha. [Chorus] Niongoze, enda nami, Njia nipate. Nifunze la kufanya Nikaishi naye. 3. Mimi mwana wa Mungu, Baraka ni tele; Nikifanya apendavyo, Nitaishi naye. [Chorus] Niongoze, enda nami, Njia nipate. Nifunze la kufanya Nikaishi naye. Maandishi: Naomi W. Randall, 1908–2001. © 1957 IRI Muziki: Mildred T. Pettit, 1895–1977. © 1957 IRI Zaburi 82:6 Mosia 4:15 Mafundisho na Maagano 14:7