175
Malezi ya Mungu
Kwa unyenyekevu
1. Ninapoona jua
Punde siku kuanza,
Nafikiri upendo
Unaotoka kwako.
2. Baba, sikio nipe;
Shukurani nikupe
Kwa kutulea kwako
Kwetu wote wanao.
Maandishi: Marie C. Turk, 1881–1972. © 1951 IRI
Muziki: Willy Reske, 1897–1991. © 1951 IRI