177
Lilipo Pendo
Kwa dhati
1. Lilipo pendo, yu Mungu.
Lilipo, tuwe pia.
Tufundishe ukweli
Tuufuate kabisa.
2. Lilipo pendo, yu Mungu.
Twamuwaza kwa pendo.
Tufundishe kuongea naye,
Na tujue twaongozwa kwake.
[Chorus]
Faraja ya hifadhiye kwetu,
Wimbo tunaotamani,
Ijapo furaha na pendo letu,
Ndio upendo kamili.
3. Lilipo pendo, yu Mungu.
Alipo, nasi tuwe.
Tufundishe taratibu zake,
Tuwe naye daima, milele.
Maandishi: Joanne Bushman Doxey, kuz. 1932, na Norma B. Smith, 1923–2010
Muziki: Joanne Bushman Doxey, kuz. 1932, na Marjorie Castleton Kjar, 1927–2019
© 1972 na Joanne Bushman Doxey na Marjorie Castleton Kjar. Mpangilio © 1989 IRI. Wimbo huu ni kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara au matumizi ya nyumbani.