138
Sifa Kwao kwa Baraka
Kwa sifa
Sifa kwao kwa baraka,
Viumbe vyote vyaimba!
Sifa kwao waliopo
Baba, Mwana, naye Roho.
Maandishi: Thomas Ken, 1637–1711
Muziki: Louis Bourgeois, mnamo 1510–1561. Kutoka Genfer Psalter, karne ya 16.
Zaburi 148:1–2, 10–14
Waefeso 1:3