89 Imeisha Siku Kwa utulivu 1. Imeisha siku; Usiku waja, Vivuli jioni Vyatanda anga. 2. Yesu, tukichoka Ututulize; Kwa baraka zako Nasi tulale. Maandishi: Sabine Baring-Gould, 1834–1924 Muziki: Joseph Barnby, 1838–1896 Mithali 3:24 Alma 37:37