85 Roho Wako Katugusa Kwa hamasa 1. Roho wako katugusa, Na kwa ushawishi wake Tunapata dira upya, Twahisi ukaribuwe. Hata kichaka cha moto Hakigusi kama Roho. 2. Je! Nyoyo hazikuwaka? Twajua Roho yu nasi. Anafanya kutumika; Anafanya njia wazi. Tushawishi kila siku, Bwana, kwenye kila kitu. Maandishi: Frank I. Kooyman, 1880–1963. © 1948 IRI Muziki: Alexander Schreiner, 1901–1987. © 1948 IRI Mosia 5:2 Luka 24:32 (13–35)