182
Baba Anaishi
Kwa upole
1. Baba anaishi, na ananipenda.
Huu ni ukweli Roho huninong’oneza.
Huninong’oneza.
2. Kukuza imani, kanileta hapa.
Roho huninong’oneza kwamba ninaweza,
Kwamba ninaweza.
Unapopiga kinanda tumia mikono peke yake (usitumie miguu).
Maandishi na muziki: Reid N. Nibley, 1923–2008. © 1969 IRI