58 Sinashaka, Sitahofu Kwa utulivu Sinashaka, sitahofu, Nipo karibu na Mungu. Roho wake anatupa Nguvu na amani pia. Ninampa kwa hiari Sala zangu na imani. Ametuahidi Roho Imani itakuwepo. Maandishi: Naomi W. Randall, 1908–2001. © 1985 IRI Muziki: Stephen M. Jones, kuz. 1960. © 1985 IRI 2 Timotheo 1:7 Mafundisho na Maagano 6:36–37