153 Yehova, Bwana wa Wote Kwa ujasiri 1. Yehova, Bwana wa wote, Tangaza ukweli, Uenee pande zote, Na waukubali; Uenee pande zote, Na waukubali. 2. Kanisa lako likue, Ufalme wa Mungu, Na amani duniani Iakisi mbingu. Na amani duniani Iakisi mbingu. 3. Kazi isogee mbele Kwayo mataifa, Yakawe kwenye ufalme, Na ukawe Bwana, Yakawe kwenye ufalme, Na ukawe Bwana. 4. Ndipo wanadamu wote Watakuimbia, Watasalimu mawingu, Wote wataimba; Watasalimu mawingu, Wote wataimba. Maneno: Hajulikani Muziki: Oliver Holden, 1765–1844 Habakuki 2:14 Mafundisho na Maagano 45:71