185 Niwapendavyo Kwa unyenyekevu Niwapendavyo Nanyi mpende. Ni amri mpya: Nanyi mpende. Watu wajue Ninyi wanafunzi, Mkipenda Kila mmoja. Maandishi na muziki: Luacine Clark Fox, 1914–2002. © 1961, 1989 IRI Yohana 13:34–35 1 Yohana 4:11